Kinga Ni Bora Kuliko Tiba
Tumia Virutubisho Lishe Kama Kinga Ya Maradhi
Usisubiri Uumwe Ndipo Utumie
Je Una Tatizo La Kiafya?
Usijali
Tuna Tiba Kwa Ajili Yako
Jifunze Zaidi Hapa Chini Kuhusu Bidhaa Zetu
Virutubisho Lishe
Jikinge na maradhi kwa kutumia virutubisho lishe vyetu vyenye ubora wa hali ya Juu na kutengenezwa na Teknolojia Bora.
Ushauri
Pata Ushauri wa kiafya kuhusiana na matatizo mbalimbali ya kiafya Yaliyoelezwa katika ukurasa huu
Matibabu
Bidhaa zetu zinaleta matokeo ya haraka kwa sababu ya teknolojia zilizotumika kuzitengeneza. Tumia Ukiwa na Amani
Teknolojia Zinazotumika Kutengeneza Bidhaa Za BF SUMA
1. Teknolojia ya Amino Acid Chelation (AAC) AAC ni teknolojia inayounganisha madini muhimu kama kalsiamu, magnesiamu, chuma na amino asidi, ili mwili uyatambue kama sehemu ya protini. Hii hufanya madini kufyonzwa kwa ufanisi zaidi na kupunguza madhara kama kichefuchefu au tumbo kuunguruma. Teknolojia hii husaidia mwili kupata virutubisho kwa usalama na bila madhara.
2. Teknolojia ya Combine Cryo-Enzyme & Dual-Micronization Teknolojia hii hutumia teknolojia mbili yaani Cryo-Enzyme & Dual-Micronization ili kuboresha usafirishaji wa virutubisho mwilini. Inaruhusu molekuli za virutubisho kupenya kwenye ngozi kwa haraka na kufika kwenye damu moja kwa moja, bila kupitia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula hivyo kusaidia virutubisho kufyonzwa haraka.Kwa hivyo hautahitaji kuchukua dozi kubwa sana ili kufikia kiwango cha ufanisi
3. Teknolojia ya Nano-Transderm Hii ni njia ya kupitisha virutubisho kupitia ngozi kwa kutumia molekuli za ukubwa wa nano ambazo hupenya tabaka za ndani za ngozi na kuingia kwenye damu moja kwa moja. Njia hii haipitii katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kuhakikisha virutubisho vinafyonzwa haraka kwa ufanisi. Ni muhimu kwa watu wenye matatizo ya mmeng'enyo na huleta matokeo bora kwa muda mfupi.
4. Teknolojia ya Macroporous Absorption Resin Teknolojia hii hutumia resini zenye mashimo madogo ambayo hufyonza viini vya virutubisho na kuondoa uchafu. Hii huchuja molekuli zenye ufanisi tu, kuhakikisha virutubisho safi na salama kwa matumizi. Inatoa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu na zinazosaidia kuboresha afya bila sumu au uchafu.
5. Teknolojia ya Membran-Tech Membran-Tech hutumia safu za membrani zinazochuja molekuli kwa usahihi mkubwa. Ni molekuli muhimu tu ndo zinazopenya, hivyo kuhakikisha kiwango cha juu cha usafi na ufanisi wa virutubisho. Teknolojia hii hufanya virutubisho kufyonzwa mwilini kwa urahisi, salama, na kwa matokeo bora zaidi.
ZIFUATAZO NI BIDHAA ZA BFSUMA PAMOJA NA BAADHI YA MAGONJWA ZINAZOWEZA KUTIBU
Wateja Wetu Wanasemaje?
Bado tunaendelea kuandaa maelezo ya bidhaa na Tiba kwa awamu.
Tuna bidhaa nyingi Zinazoweza kutibu magonjwa Zaidi ya 50.
This Site is Not Part of the FacebookTM, Website or FacebookTM Inc. Additionally,
This is NOT Endorsed by FacebookTM in Any Way FacebookTM is a Trademark of Facebook, Inc.