ZIFUATAZO NI BIDHAA ZA BFSUMA
NA MAELEZO YAKE
INAKINGA MENO NA KUTIBU ATHARI ZOTE ZA MENO
1. Dawa Yetu Inalinda Meno Yako kwa Njia ya Asili na Salama. Haina Fluoride. Fluoride imehusishwa na madhara kama fluorosis ya meno, ambayo husababisha madoa meupe au ya kahawia na kufanya meno kuwa dhaifu. Fluoride nyingi pia inaweza kuathiri afya ya mifupa kwa muda mrefu.
2. Bidhaa Yetu Ina Viambato vya Asili. Imedhamiria kulinda meno yako bila kemikali hatari. Utapata usafi wa kinywa kwa njia salama na yenye ufanisi. Hung'arisha meno, Huondoa tatizo la kutokwa damu kwenye fizi na meno, Hutibu tatizo la meno kumeguka meguka, Huondoa tatizo la meno kutingishika mara kwa mara, Huondoa bacteria hatarishi katika kinywa na pia Hulinda kinywa kisipatwe na magonjwa hatarishi.
3. Unacholipia ni ubora, si kiasi tu. Dawa za meno zinazouzwa kwa pesa ndogo mara nyingi hutengenezwa kwa kutumia kemikali. Ingawa zinaweza kusafisha meno, hazitoi ulinzi wa muda mrefu.
4. Dawa ya meno ya gharama nafuu inaweza kuonekana kuwa nafuu leo, lakini madhara yake yanaweza kukugharimu zaidi baadaye.
5. Unachagua kulinda afya yako leo au kugharimia matibabu makubwa kesho?
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA USAFI WA MWILI NA NGOZI
1. Anatic Herbal Soap imetengenezwa kwa viambato asilia kama asali na mchaichai, ambavyo ni salama kwa ngozi na havisababishi madhara yanayoweza kutokana na kemikali kali.
2. Hunyonya uchafu wote uliopo ndani ya ngozi na kutoa nje kwa njia ya jasho. Huu ni uchafu unaosababisha upele, Chunusi na jasho lenye kutoa harufu mbaya.
3. Viambato vya asili kama asali vinafahamika kwa uwezo wake wa kulainisha na kuhifadhi unyevu kwenye ngozi, kuifanya iwe laini na yenye afya. Sabuni zenye kemikali mara nyingi huondoa unyevu wa asili wa ngozi na kuifanya iwe kavu na muonekano usiovutia.
4. Anatic Herbal Soap ina sifa za kusaidia katika kutibu matatizo mbalimbali ya ngozi kama chunusi, upele, na mabaka, kutokana na viambato vyake vya asili vyenye uwezo wa kupambana na bakteria na kuondoa uchafu kwenye ngozi.
5. Huondoa seli za mwili zilizokufa (Dead cells) hivyo kufanya ngozi kuwa laini na nyororo.
6. Huzuia ngozi kuharibika na kuwa kama mzee.
7. Huondoa na kukausha vivimbe vyeusi kwenye ngozi
8. Hung'arisha meno endapo utaitumia kama dawa ya mswaki.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Cool Roll ina viambato vya asili vinavyosaidia katika kupunguza maumivu na kuleta hisia ya baridi kwenye ngozi:
2. Viambato Muhimu vya Cool Roll:
Menthol: Hutoa hisia ya baridi na kusaidia kupunguza kuwasha.
Camphor: Husaidia kupunguza maumivu ya misuli na kuvimba.
Eucalyptus Oil: Inasaidia kupunguza maumivu ya misuli na viungo.
Wintergreen Oil: Husaidia katika kupunguza maumivu ya misuli na viungo.
3. Hupunguza maumivu ya misuli na viungo.
4. Husaidia katika kupunguza maumivu ya kichwa.
7. Kusaidia katika kupunguza dalili za mafua na kikohozi.
8. Kutoa hisia ya baridi na kupunguza joto la mwili.
9. Kusaidia katika kupunguza maumivu ya koo na meno.
10. Husaidia kuondoa uchovu wa safari ndefu.
11. Husaidia kuondoa au kupunguza maumivu ya mgongo.
12. Husaidia kuondoa kizunguzungu na kichwa kuuma.
13. Husaidia kutibu mafua, kufungua mapafu na pua iliyoziba kwa kamasi.
14. Pia inatumika kama Sanitizer.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
INAKINGA NA KUTIBU MATATIZO YA MACHO
1. Bidhaa hii imelenga zaidi kuwasaidia watoto waweze kukua wakiwa na afya bora ya macho hata watakapokuwa watu wazima. Inatumika pia kwako wewe mtu mzima ambaye umeshaathirika na tatizo la macho au unataka kuimarisha afya ya macho yako usipate matatizo ya macho hapo baadae.
2. Husaidia kukuza uwezo wa kuona vizuri, ikiwa ni pamoja na kuona usiku.
3. Hupunguza uchovu wa macho unaosababishwa na kutumia vifaa vya kidijitali kwa muda mrefu .
4. Husaidia katika ukuaji mzuri wa macho kwa watoto.
5. Husaidia kuboresha ubora wa usingizi kwa watoto
6. Kiambato cha Blueberry kina antioxidants zinazosaidia kulinda macho dhidi ya uharibifu wa seli.
7. Kimbato cha Lutein kilichomo katika Sharp Vision husaidia kulinda retina na kuboresha uwezo wa kuona.
8. Hutumika kwa watoto wenye umri wa miaka 3 na kuendelea.
9. Vidonge hivi ni vya kutafuna na vina ladha ya blueberry inayopendwa na watoto.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA KUONGEZA VITAMIN C MWILINI
1. Bidhaa hii imelenga zaidi kuwasaidia watoto waweze kukua wakiwa na afya bora ya kinga ya maradhi. Inatumika pia kwako mtu mzima ambaye umeshaathirika na tatizo la linalosababishwa na kukosa vitamin C au unataka kuimarisha afya yako usipate matatizo hayo.
2. Bidhaa hii husaidiana na Sharp Vision kwa ajili ya matibabu au kuimarisha afya ya macho.
3. Inaongeza kinga ya mwili
4. Inakinga na kuondoa anaemia kwa watoto na watu wazima pia
5. Ni nzuri kwa watoto wenye matege
6. Inaongeza uchangamfu na hamu ya kula kwa watoto
7. Ni nzuri kwa wajwazito pia
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA KUONGEZA VITAMIN C MWILINI
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia ukuaji wa mifupa na meno, hasa kwa watoto na vijana. Kina ladha ya stroberi inayopendwa na watoto, na hutoa mchanganyiko wa kalsiamu na vitamini D3 kwa ajili ya afya bora ya mifupa.
2. Husaidia katika ujenzi na udumishaji wa mifupa na meno imara.
3. Husaidia kuzuia magonjwa yanayotokana na upungufu wa kalsiamu na vitamini D3.
4. Inasaidia watoto wenye matatizo ya hamu ya kula.
5. Husaidia katika kuboresha uwezo wa akili na kumbukumbu kwa watoto wanaosoma.
6. Inasaidia katika kuimarisha misuli na neva, hasa kwa watoto ambao hujihusisha na michezo mingi.
7. Inasaidia kuepusha au kuondoa ugonjwa wa upungufu wa damu ambao unasababishwa na upungufu wa madini chuma (Anaemia) hasa kwa watoto walio chini ya miaka 5.
8. Ni nzuri kwa wajawazito na wanawake wenye matatizo ya hedhi.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
BIDHAA BORA KWA AJILI YA USAFI WA MWANAMKE
1. Hii ni bidhaa kwa ajili ya wanawake.
2. Bidhaa hii hutibu na kuondoa fangasi na U.T.I sugu.
3. Huondoa harufu mbaya ukeni.
4. Huondoa na kukinga utokwaji wa maji machafu ukeni.
5. Huondoa na kukinga kupata miwasho ukeni.
6. Huzuia na huua bakteria wabaya ukeni wanaosababisha matatizo kwa akina mama kama staphylococcus aureus, ascherichia coli, pseudomonas aerginosa na candida albicans.
7. Husaidia kuweka eneo la uke safi na lenye unyevu wa asili, hivyo kuboresha faraja ya mwanamke.
8. Haifai kutumiwa na wasichana ambao hawajaanza maisha ya ndoa, wanawake walioko kwenye hedhi, wajawazito, au wanaonyonyesha.
9. Ni bidhaa ya usafi wa nje wa uke, inayolenga kudumisha usafi na afya ya sehemu za siri.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA AFYA YA MWANAMKE
1. Ni bidhaa kwa ajili ya Wanawake.
2. Imetengenezwa kwa mchanganyiko wa probiotics (bakteria wazuri) na prebiotics (virutubisho vinavyosaidia ukuaji wa bakteria hao wazuri), ikilenga kuboresha uwiano wa viumbe hai katika njia ya uzazi ya mwanamke.
3. Husaidia kuweka uwiano mzuri wa bakteria wazuri katika njia ya uzazi, hivyo kuimarisha afya ya uke na kuzuia maambukizi.
4. Ina uwezo wa kuzuia kuenea kwa bakteria wabaya, hivyo kupunguza hatari ya maambukizi ya uke kama vile vaginitis na candidiasis.
5. Husaidia kupunguza muwasho, harufu isiyo ya kawaida, na usumbufu katika eneo la uke, hivyo kuboresha faraja ya mwanamke.
6. Kwa kuwa na viambato vinavyosaidia ukuaji wa bakteria wazuri, huchangia katika kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya maambukizi ya njia ya uzazi.
7. Femibiotics haina sukari, antibiotics, wala vihifadhi dawa, hivyo ni salama kwa matumizi ya muda mrefu.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KABLA YA UJAUZITO
WAKATI WA UJAUZITO
WAKATI WA KUNYONYESHA
1. Ni kirutubisho maalum kilichoundwa kwa ajili ya wanawake, hasa wajawazito na wanaonyonyesha, ili kusaidia afya ya mifupa na meno. Kimeundwa kwa mchanganyiko wa Calcium Citrate na Vitamin D3, viambato vinavyosaidia katika ufyonzaji bora wa kalsiamu mwilini
2. Viambato Muhimu Vya FemiCalcium D3:
Calcium Citrate: Aina ya kalsiamu inayofyonzwa kwa urahisi na mwili, hata bila uwepo wa asidi ya tumbo.
Vitamin D3: Husaidia katika ufyonzaji wa kalsiamu na kuweka viwango vyake sawa kwenye damu.
3. Husaidia kuimarisha mifupa na meno kwa wanawake wajawazito na wanaonyonyesha.
4. Husaidia kuzuia upungufu wa kalsiamu na vitamini D3, ambao ni muhimu kwa ukuaji wa mtoto na afya ya mama.
5. Hupunguza hatari ya matatizo ya mifupa kama vile osteoporosis.
6. Husaidia katika usawazishaji wa homoni kwa wanawake.
7. Huzuia matatizo ya uchovu, maumivu ya misuli, kucha dhaifu na upungufu wa nguvu wakati wa kunyonyesha
8. Husaidia katika ukuaji wa mtoto kwa kutoa virutubisho muhimu na kuwezesha ukuaji bora wa kijusi tumboni
9. Inafaa piakutumiwa na wanawake wanaojiandaa kubeba ujauzito kwa afya bora
10. FemiCalcium D3 ni suluhisho kamili kwa mwanamke anayejiandaa kuwa mama, anayebeba mimba na anayelea mtoto kwa kunyonyesha.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA MIFUPA, MISULI NA NEVA
1. Imetengenezwa ikilenga kuboresha afya ya mifupa na kusaidia katika utendaji wa misuli na mfumo wa neva
2. imeundwa kwa mchanganyiko wa virutubisho muhimu: Calcium, Magnesium, Zinc, na Selenium, vyote vikiwa katika mfumo wa amino acid chelate kwa ajili ya ufanisi wa juu wa ufyonzaji mwilini.
3. Calcium na Magnesium husaidia katika ujenzi na udumishaji wa mifupa imara na meno yenye afya.
4. Kwa kuchangia katika kuongeza wingi wa madini ya mifupa, husaidia kupunguza hatari ya mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kwa urahisi.
5. Magnesium na Calcium huchangia katika utendaji mzuri wa misuli na kuzuia mikazo ya misuli (cramps).
6. Zinc ni muhimu kwa uponyaji wa haraka wa majeraha na ukuaji wa seli mpya.
7. Selenium na Zinc husaidia katika kuimarisha mfumo wa kinga, hivyo kuuwezesha mwili kupambana na magonjwa.
8. Husaidia mifupa iliyovunjika kupona haraka.
9. Huwasaidia watoto wanaochagua chakula waweze kula vizuri pasipo kuchagua.
10. Husaidia misuli ya ikulu kwa akina mama kurejea kwa haraka mara baada ya kujifungua.
Kwa kutumia teknolojia ya amino acid chelating, virutubisho hivi hufyonzwa kwa ufanisi wa hadi 90% mwilini, ikilinganishwa na virutubisho vya kawaida.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA KINGA NA AFYA YA MWANAMKE
1. Imetengenezwa kwa kutumia uyoga wa Yunzhi (pia hujulikana kama Turkey Tail). Uyoga huu umetumika kwa karne nyingi katika tiba za jadi kutokana na uwezo wake wa kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia katika kupona baada ya magonjwa sugu
2. Yunzhi ina polisakaridi-peptidi ambazo huchochea mfumo wa kinga, kusaidia mwili kupambana na magonjwa mbalimbali.
3. Inasaidia kupunguza athari za tiba kama vile kichefuchefu, upungufu wa hamu ya kula, na vidonda vya mdomoni.
4. Husaidia kuongeza nguvu mwilini na kuboresha hamu ya kula, hasa kwa wagonjwa walioko katika hatua za kupona.
5. Huchangia katika mchakato wa kutoa sumu mwilini, hivyo kuboresha afya kwa ujumla.
6. Husaidia sana wagonjwa wa Kansa wanaotumia tiba mionzi ya chemotherapy kwani hupunguza athari za mionzi na dawa za saratani kwa mhusika anayetumia.
7. Huwasaidia sana wanawake wenye uvimbe kwenye kizazi
8. Huimarisha mwili inayopelekea mwili kujikinga na vimelea vya saratani.
9. Hutatua tatizo la Hormonal Imbalance kwa wanawake.
Zifuatazo ni dalili za hormonal Imbalance kwa wanawake.
Kukosa hedhi kabisa.
Kutoka hedhi zaidi ya siku 7 au chini ya siku 3
Kupata hedhi mara 2 kwa mwezi.
Kutoka hedhi nyingi sana au mabonge ya damu
Kuumia chini ya kitovu au kupata hedhi inayouma sana.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichotengenezwa kutoka kwa spora za uyoga wa Ganoderma lucidum (pia hujulikana kama Reishi), ambazo zimevunjwa ukuta wake wa nje ili kurahisisha ufyonzwaji wa virutubisho muhimu na mwili.
2. Huongeza kinga za mwili na kupandisha CD4 kwa haraka.
3. Husaidia kuondoa maradhi ya mionzi (chemotherapy)
4. Huondoa sumu mwilini na na kuponya kwa haraka vidonda vinavyosababishwa na magonjwa kama kisukari n.k.
5. Huwasaidia watu wenye magonjwa sugu
6. Inaongeza hamu ya kula.
7. Husaidia kuboresha afya ya ini na mishipa ya damu ya ateri.
8. Huzuia kansa kusambaa na pia itakukinga usipatwe na kansa
9. Huondoa vimbe ikiwa ni pamoja na vimbe za kwenye kizazi cha mwanamke bila kufanyiwa upasuaji.
10. Husaidia kuboresha kongosho ili izalishe insulin.
11. Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo ka ndoa.
12. Husaidia kuponya vidonda vya mdomoni na vidonda vingine vyote.
13. Hupambana na uzee au kuchoka kwa seli za mwili.
14. Huboresha usingizi na huondoa uchovu kabisa.
15. Ganoderma lucidum imehusishwa na kuboresha afya ya ini na moyo.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha hali ya juu kilichotengenezwa kutoka kwa mafuta ya spora za uyoga wa Ganoderma lucidum (pia hujulikana kama Reishi). Spora hizi huvunjwa ukuta wake wa nje ili kurahisisha ufyonzwaji wa virutubisho muhimu na mwili. Bidhaa hii inajulikana kwa uwezo wake wa kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia katika afya ya moyo na ini.
2. Ganoderma spores oil ina viambato vinavyosaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili, hivyo kusaidia mwili kupambana na magonjwa mbalimbali.
3. Inasaidia kuongeza nishati ya mwili na kupunguza dalili za uchovu na msongo wa mawazo.
4. Ganoderma lucidum imehusishwa na kuboresha afya ya moyo na ini kwa kusaidia kudhibiti viwango vya mafuta kwenye damu na kulinda seli za ini.
5. Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa Ganoderma spores oil inaweza kusaidia kupunguza uvimbe na kutoa kinga dhidi ya baadhi ya aina za saratani.
6. Inaimarisha figo, ini, na mapafu kwa haraka.
7. Ni nzuri kwa waathirika wa HIV na sukari.
8. Inaimarisha kongosho na kusaidia kutoka kwa insulin
9. Inaimarisha uoni na shida ya kusikia.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kwa mchanganyiko wa aina nne za uyoga wa Reishi, maarufu kwa jina la Ganoderma lucidum.
2. Viambato Muhimu vya Quad-Reishi
Kapsuli hizi zina viambato vinne vya kipekee:
Ganoderma lucidum (Reishi): Inasaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili.
Coriolus versicolor (Yunzhi): Hujulikana kwa uwezo wake wa kusaidia katika kupambana na saratani. Hivyo hukinga mwili dhidi ya maradhi ya kansa.
Chaga (Inonotus obliquus): Husaidia katika kuondoa sumu mwilini na kuimarisha afya ya ini.
Antrodia camphorata: Inasaidia katika kuboresha afya ya moyo na ini.
3. Hupunguza uchovu na kuongeza nishati.
4. Husaidia katika kudhibiti viwango vya sukari na mafuta kwenye damu.
5. Husaidia katika kuondoa sumu mwilini na kuboresha afya ya mapafu.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia afya ya viungo na mifupa. Kimeundwa kwa mchanganyiko wa viambato viwili muhimu: glucosamine hydrochloride na chondroitin sulfate sodium, ambavyo husaidia katika kulinda na kurekebisha tishu za viungo.
2. Glucosamine husaidia katika ujenzi na uimarishaji wa tishu za viungo, wakati chondroitin husaidia kulainisha viungo na kuongeza mjongeo wa viungo.
3. Inaweza kusaidia kupunguza maumivu yanayotokana na uchakavu wa viungo au majeraha madogo.
4. Husaidia katika kuzuia uharibifu wa tishu za viungo na kuhimiza urejeshaji wa tishu zilizoharibika.
5. Huongeza ute ute (Synovial fluid) kwenye maungio ya mifupa
6. Huondoa maumivu ya maungio kama vile nyonga, magoti, mgongo n.k
7. Huzuia kulika kwa mifupa na maungio.
8. Huondoa tatizo la Arthritis (Ugonjwa wa Yabisi)
9. Huondoa Glucose Amine na Chrondroitin kwenye maungo.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia afya ya viungo na kuboresha uhamaji wa mwili. Kimeundwa kwa kutumia viambato vya hali ya juu vinavyosaidia katika kurekebisha na kulinda tishu za viungo.
2. Husaidia katika kurekebisha na kulinda tishu za viungo, hivyo kupunguza maumivu na kuimarisha ujongeaji wa viungo.
3. Husaidia kuzuia uharibifu wa tishu za viungo na kuhimiza urejeshaji wa tishu zilizoharibika.
4. Husaidia kuongeza unyevu kwenye viungo, hivyo kuboresha ufanisi na kupunguza msuguano.
7. Huzuia kulika kwa mifupa na maungio kwa kuzalisha gegedu mpya (articulate cartilage)
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha hali ya juu kilichoundwa kusaidia afya ya viungo na mifupa. Kimeundwa kwa mchanganyiko wa viambato vinavyosaidia kupunguza maumivu ya viungo, kuimarisha cartilage, na kuboresha ujongeaji wa mwili.
2. Viambato Muhimu vya GluzoJoint Ultra Pro
Glucosamine Sulfate: Husaidia katika ujenzi na ulinzi wa cartilage ya viungo.
Chondroitin Sulfate: Husaidia kulainisha viungo na kupunguza uvimbe.
MSM (Methylsulfonylmethane): Husaidia kupunguza maumivu na kuimarisha unyumbufu wa viungo.
Collagen Peptides: Husaidia katika ujenzi wa tishu za viungo na mifupa.
3. Kupunguza maumivu, kukakamaa, na uvimbe wa viungo.
4. Kusaidia katika ujenzi na ulinzi wa cartilage
7. Kuboresha unyumbufu na ujongeaji wa viungo
8. Kuzuia uchakavu wa viungo unaotokana na umri au shughuli nyingi.
9. Inafaa pia kwa watu wazima, wanamichezo, na wale wanaopata maumivu ya viungo mara kwa mara.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA AFYA YA TEZI DUME
1. Nkilichoundwa mahsusi kwa ajili ya afya ya tezi dume kwa wanaume, hasa wale wenye umri wa miaka 45 na kuendelea.
2. Husaidia kuzuia na kudhibiti kuongezeka kwa ukubwa wa tezi dume, hali inayojulikana kama benign prostatic hyperplasia (BPH)
3. Huondoa matatizo ya kukojoa mara kwa mara, usiku, au kwa maumivu, hivyo kuboresha maisha ya kila siku .
4. Huchangia kuongeza hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume kwa ujumla.
5. Husaidia kupunguza msongo wa mawazo na wasiwasi, hali ambazo zinaweza kuathiri afya ya tezi dume na maisha ya ngono .
6. Huchangia kuongeza viwango vya nishati na nguvu mwilini, hivyo kuboresha maisha ya kila siku .
7. Huondoa Tezi dume bila kufanyiwa upasuaji.
Tahadhari: Haipendekezwi kwa wanawake wajawazito, wanaonyonyesha, au watoto. Weka mbali na watoto. Si mbadala wa dawa; tumia kama ilivyoelekezwa.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa mahsusi kwa ajili ya wanaume, chenye viambato vya asili vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi na kuongeza nguvu za kiume.
2. Viambato Muhimu vya XPower Man Plus.
Epimedium: Hutumiwa kama kichocheo cha hamu ya tendo la ndoa na huongeza mtiririko wa damu kwenye viungo vya uzazi.
Maca: Husaidia kuongeza nguvu za mwili, kuboresha uzalishaji wa homoni ya testosterone, na kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
Tangawizi Nyeusi (Black Ginger): Husaidia kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza nguvu za misuli.
L-Arginine: Ni asidi ya amino inayosaidia katika uzalishaji wa manii na kuboresha mtiririko wa damu.
Taurine: Husaidia kupunguza uchovu na kuongeza nguvu za mwili.
3. Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa wanaume.
4. Hufungua mishipa midogo midogo ya kwenye uume hivyo humfanya mwanaume kukaa muda mrefu kwenye tendo au kumridhisha mwandani wake.
7. Huongeza uwezo wa uzalishaji wa shahawa, huongeza mbegu za kiume na uwezo wa mbegu kuishi kwa muda mrefu.
8. Huondoa uchovu, maumivu ya mgongo na humfanya mwanaume awe katika ubora wa hali ya juu wakati wa tendo la ndoa.
9. Huondoa msongo wa mawazo na kuboresha mfumo mzima wa damu kwa mwanaume.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kinywaji cha kiafya kilichotengenezwa mahsusi kwa wanaume, kikiwa na mchanganyiko wa kahawa na viambato vya asili vinavyosaidia kuongeza nguvu za mwili na kuboresha afya ya uzazi.
2. Viambato Muhimu vya XPower Coffee
Kila sachet ya XPower Coffee ina viambato vifuatavyo:
Tongkat Ali: Husaidia kuongeza kiwango cha homoni ya testosterone, kupunguza msongo wa mawazo, na kusaidia katika kutibu matatizo ya uzazi kwa wanaume.
Ginseng: Huongeza nishati ya mwili, kuimarisha kinga ya mwili, na kusaidia katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume.
Epimedium: Ni mmea wa asili unaojulikana kuongeza hamu ya tendo la ndoa na kuboresha utendaji wa kijinsia.
Maca: Huongeza nishati ya mwili, kuongeza uzalishaji wa testosterone, na kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
3. Huongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa wanume.
4. Hufungua mishipa midogo midogo ya kwenye uume hivyo humfanya mwanaume kukaa muda mrefu kwenye tendo au kumridhisha mwandani wake.
7. Huongeza uwezo wa uzalishaji wa shahawa, huongeza mbegu za kiume na uwezo wa mbegu kuishi kwa muda mrefu.
8. Huondoa uchovu, maumivu ya mgongo na humfanya mwanaume awe katika ubora wa hali ya juu wakati wa tendo la ndoa.
9. Huondoa msongo wa mawazo na kuboresha mfumo mzima wa damu kwa mwanaume.
10. Husaidia katika kutunza afya ya tezi dume (prostate).
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kinywaji cha kiafya kilichotengenezwa kwa kuchanganya kahawa ya hali ya juu na viambato vya asili vinavyosaidia kuboresha afya kwa ujumla.
2. Huwafaa sana watu wenye kisukari, presha ya kupanda na lakini kwa mtu yeyote ili kuboresha afya.
3. Huongeza kinga mwilini
4. Huongeza uzalishaji wa chembe hai nyeupe za damu.
5. Husaidia ini na figo kutoa sumu na kuvunja vunja sumu mwilini.
6. Hulinda bandama.
7. Huua seli za kansa.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kinywaji cha kiafya kilichotengenezwa kwa kuchanganya kahawa ya hali ya juu na viambato vya asili vinavyosaidia kuboresha afya kwa ujumla.
2. Huwafaa sana watu wenye kisukari, presha ya kupanda na lakini kwa mtu yeyote ili kuboresha afya.
3. Huongeza kinga mwilini
4. Huongeza uzalishaji wa chembe hai nyeupe za damu.
5. Husaidia ini na figo kutoa sumu na kuvunja vunja sumu mwilini.
6. Huondoa Uric Acid. Huwafaa wagonjwa wa Gauti na Figo
7. Huweka sawa mfumo wa homoni mwilini.
8. Hupambana na uvimbe na kutoa kinga dhidi ya saratani.
9. Kusaidia katika kuondoa sumu mwilini na kuboresha afya ya mapafu.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kinywaji cha kiafya kilichotengenezwa kwa kuchanganya kahawa ya hali ya juu na viambato vya asili vinavyosaidia kuboresha afya kwa ujumla.
2. Huwafaa sana watu wenye kisukari, presha ya kupanda na lakini kwa mtu yeyote ili kuboresha afya.
3. Huongeza kinga mwilini
4. Huongeza uzalishaji wa chembe hai nyeupe za damu.
5. Husaidia ini na figo kutoa sumu na kuvunja vunja sumu mwilini.
6. Huondoa Uric Acid. Huwafaa wagonjwa wa Gauti na Figo
7. Huweka sawa mfumo wa homoni mwilini.
8. Hupambana na uvimbe na kutoa kinga dhidi ya saratani.
9. Kusaidia katika kuondoa sumu mwilini na kuboresha afya ya mapafu.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, hasa kwa watu wanaokumbwa na matatizo ya choo kigumu au kutopata choo kwa urahisi.
2. Viambato Muhimu vya ConstiRelax.
Prebiotics: Ni viambato visivyoyeyushwa ambavyo husaidia kukuza ukuaji wa bakteria wazuri kwenye utumbo, hivyo kuboresha usagaji wa chakula na afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
Radix Astragali: Ni mmea wa asili unaojulikana kwa kusaidia kuimarisha kinga ya mwili na kuboresha afya ya moyo.
3. Huondoa sumu mwilini, hivyo kusaidia kuboresha afya na urembo wa ngozi.
4. Husaidia katika kupunguza uzito au kudumisha uzito mzuri wa mwili.
5. Huboresha afya ya utumbo na usagaji wa chakula kwa ujumla.
6. Husafisha mfumo mzima wa chakula kuanzia mdomoni hadi sehemu ya haja kubwa hivyo hupunguza madhara ya kupata saratani ya utumbo.
7. Huondoa sumu zote kwenye mfumo mzima wa chakula, hii husaidia kuboresha muonekano wa ngozi yako.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia watu wanaokumbwa na matatizo ya bawasiri (hemorrhoids) na matatizo ya mzunguko wa damu kwenye mishipa midogo (microcirculation). Bidhaa hii imetengenezwa kwa kutumia viambato vya asili kutoka kwa matunda ya machungwa (citrus), hasa bioflavonoids, ambavyo husaidia katika kuondoa maumivu, uvimbe, na kuwasha kwenye eneo la haja kubwa.
2. Viambato Muhimu Vya Novel Depile.
Bioflavonoids kutoka kwa machungwa: Husaidia kuimarisha mishipa midogo ya damu, kupunguza uvimbe, na kuboresha mzunguko wa damu.
Citrus Extract: Hutoa msaada wa asili katika kupunguza maumivu na kuwasha kutokana na bawasiri.
3. Husaidia katika kuponya bawasiri za ndani na za nje bila upasuaji.
4. Huboresha mzunguko wa damu kwenye mishipa midogo na kusaidia katika afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
5. Hutoa msaada wa haraka na wa asili kwa watu wanaokumbwa na matatizo ya bawasiri sugu au ya muda mfupi.
6. Bawasiri / Mgolo ni hali inayomtokea mtu pale vinyama vinapojitokeza eneo la haja kubwa, inawezekana zisijitokeze kabisa nje ila mgonjwa atajisikia hali ya kukera na maumivu eneo la haja kubwa hasa wakati wa kukaa au kwenda haja kubwa.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuimarisha kinga ya mwili. Kila sachet ina mchanganyiko wa bakteria wazuri wanaosaidia kurejesha usawa wa bakteria kwenye utumbo, hivyo kupunguza matatizo kama gesi, kuvimbiwa, na maumivu ya tumbo.
2. Viambato Muhimu vya Probio 3.
Prebiotics: Husaidia kukuza ukuaji wa bakteria wazuri kwenye utumbo.
Probiotics: Mchanganyiko wa aina tatu za bakteria wazuri (Lactobacillus acidophilus, Bifidobacterium lactis, na Lactobacillus rhamnosus) wanaosaidia kuboresha usagaji wa chakula na kuimarisha kinga ya mwili.
Enzymes za mmeng'enyo: Husaidia kuvunja chakula ili kurahisisha usagaji na kunyonya virutubisho.
3. Inasaidia kuondoa gesi tumboni, asidi na choo kigumu.
4. Inasaidia kutibu vidonda vya tumbo inapotumiwa pamoja na ConstiRelax pamoja na Yunzhi
5. HuNi nzuri sana kwa kuondoa sumu mwilini na kuongeza bakteria walinzi tumboni.
6. Inafaa sana kwa mtu yeyote anayetaka kupungua uzito kwa njia ya asili na salama.
7. Inarekebisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa kuongeza bakteria walinzi mwilini.
Probio 3 Itakusaidia Kuwaongeza Kwa Kasi Bakteria Hao Wazuri Tumboni
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Imetengenezwa kwa kutumia aina 120 za matunda na mboga mboga safi zilizoloweshwa na kuchachushwa kwa zaidi ya saa 720. Mchakato huu wa kuchachusha husaidia kutoa virutubisho muhimu kama vile nyuzinyuzi, anthocyanin, na phytochemicals ambazo husaidia katika usagaji wa chakula, kuondoa sumu mwilini, na kuboresha afya kwa ujumla.
2. Viambato Muhimu vya Veggie Veggie
Essence ya kuchachusha matunda na mboga mboga: Inatokana na aina 120 za matunda na mboga mboga safi.
Nyuzinyuzi za lishe za Nutriose kutoka Ufaransa: Husaidia katika usagaji wa chakula na afya ya utumbo.
Mchanganyiko wa aina sita za probiotics: Husaidia kurejesha usawa wa bakteria wazuri kwenye utumbo.
3. Ni bidhaa bora san ya asili kwa ajili ya kupunguza uzito bila kuharisha.
4. Huondoa kitambi kwa wanaume na wanawake.
5. Ni nzuri sana kwa kuondoa sumu mwilini na kuongeza bakteria walinzi tumboni.
6. Inafaa sana kwa mtu yeyote anayetaka kupungua uzito kwa njia ya asili na salama.
7. Husaidia katika usimamizi wa uzito na kupunguza mafuta yasiyo hitajika tumboni.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha asili kilichoundwa kusaidia kupunguza haraka dalili za kuharisha na matatizo mengine ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Inajulikana pia kama AntiDiarr Pills na hutumiwa kama msaada wa dharura kwa matatizo ya tumbo.
2. Viambato Muhimu vya NTDiarr:
Vidonge hivi vimetengenezwa kwa mimea ya asili yenye sifa za kupambana na bakteria, ikiwa ni pamoja na:
Cortex Phellodendri
Creosote
Glycyrrhiza (licorice)
Viambato hivi husaidia kupunguza maambukizi kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
3. Huzuia na kutibu kuharisha.
4. Huondoa maumivu ya tumbo.
5. Hurudisha hali ya tumbo kuwa shwari kwa anayeharisha.
6. Huzuia kutapika.
7. Huua bakteria wabaya tumboni wanaosababisha tumbo kujaa gesi , kuuma na kuunguruma.
8. Huongeza hamu ya kula.
9. Hutibu vidonda vya tumbo ikitumiwa pamoja na constiRelax na Veggie Veggie.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
KWA AJILI YA KUONDOA SUMU MWILINI
1. Detoxilive ni chaguo bora kwa wale wanaotafuta kuboresha afya ya ini, kudhibiti mafuta mwilini, na kuimarisha kumbukumbu.
2. Husaidia ini kufanya kazi kwa ufanisi zaidi, kusaidia kuondoa sumu na taka mwilini.
3. Huchochea usagaji na uvunjaji wa mafuta, hivyo kusaidia katika kudhibiti uzito na kupunguza mafuta mabaya mwilini.
4. Husaidia kudhibiti viwango vya cholesterol mwilini, hivyo kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa.
5. Choline inayopatikana katika lecithin husaidia katika uzalishaji wa acetylcholine, ambayo ni muhimu kwa kazi za ubongo na kumbukumbu.
6. Kwa kusaidia kuondoa sumu na kuboresha afya ya ini, Detoxilive huchangia katika kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili.
7. Hupunguza athari za Kisukari kwa kushusha kiwango cha sukari mwilini.
Tahadhari: Haitakiwi kuzidisha dozi iliyopendekezwa. Haipendekezwi kwa watoto, wanawake wajawazito au wanaonyonyesha.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha mimea kilichoundwa kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu kwa kuboresha mzunguko wa damu na utoaji wa oksijeni mwilini. Inafaa kwa watu wazima, hasa wale wenye historia ya matatizo ya moyo au wanaotafuta kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla.
2. Viambato Muhimu vya MicrO2 Cycle:
MicrO2 Cycle Tablets hutengenezwa kwa mimea mitatu ya asili inayojulikana kwa kusaidia afya ya moyo:
Radix Salvia miltiorrhiza (Danshen): Inasaidia kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza msongamano wa damu.
Radix Panax notoginseng (Sanqi): Husaidia kupunguza hatari ya kuganda kwa damu na kuboresha afya ya mishipa ya damu.
Borneolum Syntheticum (Borneol): Husaidia kupunguza maumivu ya kifua na kuboresha mzunguko wa damu kwenye moyo.
3. Huboresha mzunguko wa damu na utoaji wa oksijeni kwenye misuli ya moyo.
4. Husaidia kuondoa msongamano wa damu na kuboresha mtiririko wa damu kwenye mishipa midogo midogo ya miguuni, mikononi, kwenye uume, macho na figo.
5. Husaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na triglycerides.
6. Huzuia kuganda kwa damu na kupunguza hatari ya arteriosclerosis.
7. Hutoa kinga dhidi ya uharibifu wa misuli ya moyo na kusaidia katika kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla.
8. Husaidia hewa ya Oksijeni na chakula kufika ipasavyo kwenye seli za mwili.
9. Huondoa cholesterol (lehemu) kwenye mishipa ya damu.
10. Hukinga na kuzuia kiharusi na shinikizo la damu.
11. Husaidia mishipa ya damu kujiponya yenyewe na kuondoa sumu mwilini.
12. Inafaa sana kuondoa ganzi na miguu kuwaka moto ikitumika kwa muda mrefu hufungua mishipa ya damu.
Tahadhari: Epuka kutumia pamoja na dawa za kuzuia kuganda kwa damu kama aspirin.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha mimea kilichoundwa kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu kwa kuboresha mzunguko wa damu na utoaji wa oksijeni mwilini. Inafaa kwa watu wazima, hasa wale wenye historia ya matatizo ya moyo au wanaotafuta kuimarisha afya ya moyo kwa ujumla.
2. Kiambato cha Majani ya Ginkgo biloba: Kiambato hiki kinasaidia kuboresha mzunguko wa damu kwenye ubongo, kuongeza utoaji wa oksijeni, na kuimarisha kazi za neva.
3. Huzuia kuchoka sana, kuuma kichwa unaposoma, kupoteza kumbukumbu, kwa wazee (Alzheimer's disease)
4. Huifanya mishipa ya damu ya kwenye moyo itulie, hivyo huzuia magonjwa ya moyo,
5. Huondoa tatizo la masikio kupiga kelele na matatizo mengine ya masikio.
6. Huzuia kufa kwa seli za kwenye ubongo na kufa kwa mishipa midogo midogo ya damu.
7. Huwafaa wanafunzi, watu wanaokaa kwenye kmpyuta kwa muda mrefu na wanaofanya kazi zinazotumia akili na kuwaza sana na watu waliopo katika taaluma mbalimbali.
Tahadhari: Mtu mwenye kifafa haruhusiwi kutumia Cerebrain Tablets.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha asili kilichotengenezwa kusaidia kudhibiti viwango vya sukari kwenye damu, hasa kwa watu wenye kisukari au wanaotaka kuimarisha afya ya moyo na kongosho.
2. Vidonge hivi vina viambato vitatu vya asili vinavyosaidia katika udhibiti wa sukari:
Gymnema Sylvestre: Hupunguza viwango vya sukari kwenye damu na kupunguza hamu ya sukari.
Chromium-Rich Yeast: Huongeza ufanisi wa insulini na kuboresha usagaji wa wanga.
PQQ (Pyrroloquinoline Quinone): Husaidia kuongeza nishati mwilini, kulinda seli, na kuimarisha afya ya moyo.
3. Hulisaidia kongosho kuzalisha Insulini ipasavyo.
4. Huongeza uzalishaji wa Insulini.
5. Huziponya seli za kongosho.
6. Ina green tea ambayo husaidia kupambana na uchakavu wa mwili na kuweka mwili fiti.
7. Huzuia sukari kuingia mwili na kukinga magonjwa ya moyo.
Tahadhali:
✍️Anatakiwa kutumia mtu mwenye BMI zaidi ya 28.
✍️Hatakiwi kutumia mama mjamzito.
✍️Hatakiwi kutumia mama anayenyonyesha.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni chai ya asili iliyoundwa kusaidia kupunguza msongo wa mawazo, kudhibiti shinikizo la damu, na kuboresha afya ya moyo. Inafaa kwa watu wanaotafuta njia ya asili ya kuimarisha afya ya moyo na kupunguza hatari ya magonjwa yanayohusiana na shinikizo la damu.
2. Viambato Muhimu Vya Relivin Tea:
Green Tea: Inajulikana kwa uwezo wake wa kupunguza shinikizo la damu na kutoa kinga dhidi ya uzee wa mapema.
Folium Apocyni Veneti (Luobuma Tea): Husaidia kupunguza shinikizo la damu na kuimarisha afya ya moyo.
3. Haina kafeini, hivyo inaweza kutumiwa wakati wowote wa siku.
4. Hupunguza msongo wa mawazo na wasiwasi.
5. Hudhibiti shinikizo la damu na kudumisha mapigo ya moyo ya kawaida.
6. Kutoa kinga dhidi ya uzee wa mapema kwa sababu ya antioxidants.
7. Husaidia kupunguza kizunguzungu na kuboresha mzunguko wa damu.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa mahsusi kwa ajili ya wanawake, kikilenga kuboresha afya ya ngozi na kupunguza dalili za kuzeeka. Kimeundwa kwa kutumia Grape Seed Extract yenye asilimia 95 ya Oligomeric Proanthocyanidins (OPC), ambayo ni antioxidants zenye nguvu zinazosaidia kulinda seli dhidi ya uharibifu wa radicals.
2. Viambato Muhimu Vya Feminegy Capsules:
Grape Seed Extract (330 mg kwa kila kidonge): Chanzo kikuu cha OPC, inayojulikana kwa uwezo wake wa kupambana na kuzeeka na kuboresha afya ya ngozi.
3. Huondoa makunyanzi kwa wanawake na alama nyeusi zinazoachwa na chunusi.
4. Huifanya ngozi ing'ae na inyooke kama kijana.
5. Huongeza unyevunyevu kwenye ngozi.
6. Hupunguza kasi ya uzee kwa seli za mwili kuchoka huwafaa sana wanawake watu wazima na wasichana wanaojali urembo wao.
7. Hupunguza athari za kupata kansa, kisukari, kongosho kuchoka.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha lishe kilichoundwa kusaidia kupambana na mchakato wa kuzeeka kwa kutumia mchanganyiko wa viambato vya asili vyenye uwezo mkubwa wa antioxidant. Bidhaa hii inalenga kuboresha afya ya ngozi, kuongeza nishati, na kusaidia katika matengenezo ya DNA.
2. Viambato Muhimu Vya YouthEver:
Resveratrol: Antioxidant inayopatikana kwenye mizabibu, inayosaidia kupunguza uvimbe na kulinda seli dhidi ya uharibifu.
NMN (Nicotinamide Mononucleotide): Kiambato kinachosaidia kuongeza viwango vya NAD⁺ mwilini, ambacho ni muhimu kwa uzalishaji wa nishati na afya ya seli.
Mchanganyiko wa Juisi na Extract za Matunda: White Grape Juice Concentrate, Cherry Juice Concentrate, Olive Fruit Extract, Blueberry Juice Concentrate, Acai Berry Extract, na Bilberry Extract.
3. Huchelewesha mchakato wa kuzeeka kwa seli.
4. Huboresha mwonekano wa ngozi na kuifanya ionekane yenye afya na ujana.
5. Husaidia katika matengenezo ya DNA na kulinda seli dhidi ya uharibifu.
6. Huongeza nishati na kuboresha afya ya moyo na ubongo. Inamfanya mtu aondokane na tatizo la kusahau.
7. Ni Antioxidant. Inaondoa sumu mwilini na kuupatia mwili nguvu upya na kinga dhidi ya magonjwa ya uzee.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
1. Ni kirutubisho cha hali ya juu kilichoundwa kusaidia kupambana na mchakato wa kuzeeka kwa kuongeza viwango vya NAD⁺ mwilini. NAD⁺ ni coenzyme muhimu kwa shughuli za seli, lakini kiwango chake hupungua kadri tunavyozeeka, na kusababisha uchovu, kupungua kwa uwezo wa akili, na hatari ya magonjwa yanayohusiana na umri.
2. Viambato Muhimu vya NMN Duo Release.
Nicotinamide Mononucleotide (NMN): Kila kidonge kina 100 mg ya NMN, kiambato kinachosaidia kuongeza viwango vya NAD⁺ mwilini.
Teknolojia ya Duo Release: Kidonge kimeundwa kwa tabaka mbili:
Fast Release Layer: Hutoa NMN haraka ndani ya dakika 30 ili kuongeza nishati mara moja.
Sustained Release Layer: Hutoa NMN polepole kwa hadi saa 24 ili kudumisha viwango vya NAD⁺ kwa muda mrefu.
3. Inaanza kuleta matokeo ndani ya dakika 30.
4. Hukinga na kuzuia kisukari.
5. Huvunja vunja sukari iliyozidi mwilini.
6. Huyeyusha mafuta yaliyozidi mwilini na kuondoa nyama uzembe.
7. Hupambana na uzee (anti-aging)
8. Hutengeneza DNA zilizoharibika na kuzifanya mpya.
9. Husaidia kuondoa makunyanzi, kuponya ngozi iliyoungua na vipodozi vikali hivyo kukupatia monekano mzuri.
10. Inaongeza uwezo wa vinasaba (genes) kufanya kazi mwilini kwa muda mrefu hivyo kurefusha maisha.
11. Huzuia na kuponya saratani.
12. Huzuia na kuponya ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu.
13. Huzuia kiharusi (stroke), kupooza (paralysis) na pressure.
14. Husaidia katika afya ya macho na kuimarisha mifupa.
15. Hutoa kinga dhidi ya magonjwa yanayohusiana na umri kama kisukari na magonjwa ya moyo.
Kupata Bidhaa Hii:
Piga Simu au Tuma Ujumbe
Kwenda
+255 767 378 378
au
+255 658 378 378
This Site is Not Part of the FacebookTM, Website or FacebookTM Inc. Additionally,
This is NOT Endorsed by FacebookTM in Any Way FacebookTM is a Trademark of Facebook, Inc.