IJUE BIASHARA MTANDAO
Kuna Aina 4 za Kipato Duniani
1. Kuajiriwa & Kujiajiri:
Unafanya kazi kubwa, kipato kidogo. Hakitoshelezi mahitaji.
2. Uwekezaji & Biashara Kubwa:
Hapa pana kipato endelevu na uhuru wa muda.
Ukweli Mchungu Ni Huu:
95% ya watu duniani huajiriwa au kujiajiri lakini ni 5% tu ndo wana biashara kubwa na uwekezaji
Lakini asilimia hiyo 5 ndo ambao humiliki asilimia 95 ya uchumi wa dunia.
Je Umewahi Kujiuliza:
Ukishindwa kufanya kazi miezi 6
utaweza kupata mahitaji yako ya kila siku bila kuwategemea watu wengine wakusaidie?
Kama hutaweza basi unapaswa utafute chanzo kitakachokupatia kipato endelevu kitakachokulinda hata utakaposhindwa kufanya kazi
Kutokana na sababu ya ama kuugua, kuachishwa kazi au biashara yako kukwama
Naipendekeza Kwako:
BIASHARA YA MTANDAO
Huu ni mfumo wa biashara unaoweza kujiunga kwa mtaji mdogo lakini ukapata mafanikio makubwa hapo baadae.
Biashara ambayo itakupatia kipato endelevu kitakachokulinda hata utakaposhindwa kufanya kazi
Jinsi Biashara Hii Inavyofanya Kazi:
Utauza bidhaa moja kwa moja, kama vile virutubisho na kupata kipato kutoka kwa mauzo yako na ya walio chini yako.
Wewe utaalika ndugu, jamaa na marafiki wajiunge na biashara na wao watafanya kama wewe ulivyofanya.
Kadiri kila mmoja atavyomshirikisha mwingine timu yako itakua na kuwa kubwa
Kampuni inayojihusisha na biashara ya mtandao itakulipa kwa mauzo au matumizi yako binafsi
lakini pia itakulipa kwa mauzo au matumizi ya bidhaa ya timu yako.
Tumekutengenezea Jumuiya Ya WhatsApp
Katika Jumuiya hiyo utajifunza mengi
kuhusu
Afya, Tiba, Biashara
Na
Mafunzo Ya Kitaaluma
Bofya Kitufe Kilichopo Hapa Chini
Kuwasiliana nami ili nikuunganishe na Jumuiya hiyo
This Site is Not Part of the FacebookTM, Website or FacebookTM Inc. Additionally,
This is NOT Endorsed by FacebookTM in Any Way FacebookTM is a Trademark of Facebook, Inc.